Fiston Mayele Akosa Kiatu cha Ufungaji Bora Misri

 

Fiston Mayele Akosa Kiatu cha Ufungaji Bora Misri

Rasmi Ligi Kuu nchini Misri imetamatika kwa Aly Ahaly kutawazwa kuwa mabigwa wapya wa Misri kwa msimu wa mwaka 203/24.


Mshambuliaji wa klabu ya Al Ahly, Wessam Abou Ali ametawazwa kuwa Mfungaji Bora wa Ligi ya Misri akiwa na mabao 18 wakati Fiston Mayele akiwa na mabao 17.


Wessam anakuwa mchezaji wa kwanza kutoka Palestina kushinda taji la Ligi ya Misri.


Huu ni msimu wa mwingine kwa Mayele akikosa kiatu cha ufungaji bora dakika za mwisho. Akiwa nchini kwao Congo, Mayele alikosa kiatu mbele ya Jean Baleke, msimu wa kwanza akiwa Yanga alikosa pia kiatu mbele ya George Mpole.


Aidha, Mayele msimu uliotamatika mwaka jana, Mayele alichukua tuzo hiyo pamoja na Saido Ntibazonkiza aliyekuwa Simba kwa kuwa na mabao 17 kila mmoja.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad