Irene Uwoya Amvaa Mama Aliyemkosoa Kuwa Hafai Kuwa Mchungaji

 

Irene Uwoya Amvaa Mama Aliyemkosoa Kuwa Hafai Kuwa Mchungaji

Muigizaji wa Filamu Tanzania ambaye kwa sasa amwgeukia kwenye kumtumikia Mungu Irene Uwoya amemvaa mama Mmoja ambaye jina lake halijafahamila baada ya mama hiyo kudai kuwa ni mapema sana Irene kufungua kanisa na alipaswa kupikwa kwanza kabla ya yote hayo


Mama huyo amedai Irene ametoka kwenye kumtumikia shetani hivyo asifanye ukristu kuwa rahisi kwa kufungua kanisa alipaswa aoshwe kwanza ndio aendelee na mambo mengine


Kwa upande wa UWOYA amemjibu mama huyo kuwa mama huyo anaangamia kwa kukosa maarifa.


Lakini pia amesema kuwa hajaitwa na mwanadamu kwenye utumishi ila Mungu ndiye amemwita

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad