JKU FC ya Zanzibar Yapigwa 6 na Pyramids, Fiston Mayele Atupia

JKU FC ya Zanzibar Yapigwa 6 na Pyramids, Fiston Mayele Atupia


Wawakilishi wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, JKU Fc wamepokea kichapo cha mbwa mwizi cha 6-0 dhidi ya vigogo wa Misri, Pyramids kwenye mchezo wa hatua ya awali ya Ligi hiyo.

JKU Fc 🇹🇿 0-6 🇪🇬 PYRAMIDS
⚽ 8’ Fiston Mayele
⚽ 14’ El Karti
⚽ 26’ Lasheen
⚽ 32’ Ibrahim Adel
⚽️ 51’ Lasheen
⚽ 88’ Zalaka

JKU Fc wana mlima mrefu mno wa kufuzu hatua ya kwanza kwa kuwa watalazimika kuifunga Pyramids 7-0 kwenye mchezo wa marudiano ili kufuzu.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad