Lameck Lawi Arejea Kwenye Kikosi cha Coastal Union

 

Lameck Lawi Arejea Kwenye Kikosi cha Coastal Union

Mlinzi wa kati Lameck Lawi amerejea ndani ya kikosi cha Coastal Union. Lawi amerejea Coastal Union baada ya kukamilika kwa ratiba ya majaribio yake nchini Ubelgiji.


Tayari yupo kambini na amekwisha anza mazoezi na waajiri wake hao tayari kwa maandalizi ya Murndelezo wa Msimu Mpya wa 24/25.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad