Max Nzengeli Ndio Mchezaji Pendwa Anayependwa na Makocha

 

Max Nzengeli Ndio Mchezaji Pendwa Anayependwa na Makocha

Max Nzengeli Ndio Mchezaji Pendwa Anayependwa na Makocha

Ndoto kubwa ya Mohammed Nabi kwa kiasi kikubwa ilikua ni kufanya kazi/kuwa na uhitaji wa Maxi Mpia Nzengeli ndani ya Yanga SC kipindi hicho Maxi yupo As Maniema ya pale Congo kabla Baba Nabi hajaondoka ndani ya Yanga SC.


Ndoto ikatimia Mbappe wa Kindu akamwaga wino ndani ya Yanga SC,Msimu wa kwanza chini ya Miguel Gamondi Maxi Mpia Nzengeli akaonyesha uwezo mkubwa akicheza kwa kujituma na kufanya kuwa mchezaji aliyecheza muda mwingi zaidi "Kwenye Ligi ni mchezo mmoja tu ndiyo hakucheza dhidi ya Mtibwa Sugar."


Na kuwa na mchango mkubwa wa mafanikio ndani ya Yanga SC,Miguel Gamondi kajivunia uwepo wake ndani ya Kikosi kutokana na kufata vyema maelekezo yake uwanjani

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad