Mchambuzi Adai Chama Hana Furaha Yanga, Kiwango Cha Kina Pacome Chamtisha



“Chama ni mchezaji mzuri sana nampa daraja C, binafsi sikuona sababu yoyote Yanga ya kumsajili Chama kwenye kipindi hiki kutokana na ubora wa Yanga walionao kwenye safu ya ushambuliaji.
.
“Nasikia anaanza kusema hana furaha kutokea benchi kutokana na ubora wa Pacome na wachezaji aliowakuta.”
.
— Mchambuzi, Hans Rafael.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad