Mwigulu Mchemba "Nimewaomba Yanga Watumie Busara Kagoma Acheze Simba"


Anaandika Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba.

"Nafahamu undani wa Suala la Yusuf Kagoma, ni kweli Kagoma alisaini mkataba Yanga, na baadae akasaini Simba, Najua kutokwenda kwake Yanga na badala yake kusaini Simba hata sio Masuala ya Fedha. Tutatumia muda sana tukitaka kuchimba haya. Kagoma ni mtoto wetu, Yanga ni Club kubwa sana na ina mambo muhimu ya kuyawekea nguvu kuyafanikisha kuliko kuweka nguvu Kagoma aisicheze licha ya ukweli kwamba alistahili achezee Yanga. NIMEWAOMBA VIONGOZI WA YANGA WASAMEHE YOTE, WAONDOE SHAURI DHIDI YA KAGOMA, WAMWACHE AWE HURU AKAITUMIKIE SIMBA KWA MASLAHI MAPANA YA MPIRA WA TANZANIA NA KWA FAIDA YA MCHEZAJI MWENYEWE."
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad