Mwimbaji Vybz Kartel Atoka Jela Baada ya Kutumikia Kifungo Kwa Miaka 13

Mwimbaji Vybz Kartel Atoka Jela Baada ya Kutumikia Kifungo Kwa Miaka 13

Mashabiki washerehekea kuachiliwa kwa nyota wa dancehall, Vybz Kartel, ambaye alikuwa akitumikia kifungo cha maisha jela tangu mwaka 2014. Kartel ametoka baada ya kutumikia kifungo cha miaka 13 gerezani.

Kartel na washtakiwa watatu, Shawn Campbell, Kahira Jones, na Andre St. John, ambao pia wameachiwa huru, walihusika kwenye kesi ya mauaji ya Clive "Lizard" Williams Novemba 2011.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad