PAUL Makonda Awaumbua Waliomzushia yuko Mahtuti, Arejea Ofisini

 

PAUL Makonda Awaumbua Waliomzushia yuko Mahtuti, Arejea Ofisini

Baada ya siku 30 za likizo yake kutamatika, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amerejea rasmi ofisini kwake.


Makonda amerejea ofisini kimyakimya na kuendelea na majukumu yake tofauti na siku alipokuwa akiripoti kwa mara ya kwanza ofisni hapo baada ya kuteuliwa na Rais Samia Suluhu, kulikuwa na shamra shamra nyingi na mbwembwe za hapa na pale.


Safari hii hakuna mbwembwe za magari ya utalii wala mrundikano wa watu wengi. Unaweza kusema Makonda ameshaizoea ofisi yake sasa.


Siku 30 za likizo ya Makonda ziliibua mambo kadha wa kadha, wengine waliziita ni drama, lakini yeye alikuwa mapumzikoni kama ambavyo mfanyakazi yeyote anaweza kwenda likizo kwa mujibu wa sheria ya ajira na sheria za utumishi.


Baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii walitengeneza maudhui hasi dhidi yake hasa kushusiana na afya yake. Mitandao ya kijamii iliandika kuwa “makonda yupo nchini Afrika Kusini anatibiwa, amelishwa sumu, hali yake ni mahututi, watu wamuombee.


Mitandao ikaenda mbele zaidi na kusema kuwa “Makonda amezidiwa vibaya sana, watu waanze kushona suti nyeusi kwa ajili ya maombolezo”. Waliompenda walionesha kuumizwa na taarifa hizo lakini wasiompenda walionesha kufurahishwa na taarifa hizo.


Wapo waliosema Makonda anatengeneza drama na kiki lakini wengine wakadai kuwa huo ni ukweli kwani kama ni mzima kweli wa afya kwa nini asijitokeze akakanusha uvumi huo.


Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu alikanusha taarifa hizo na kusema kuwa Makonda ni mzima wa afya na yuko likizo ya kawaida ya mapumziko ya mwezi mmoja. Baada ya Makonda kurejea ofisini, Babu amesema; “Amerejea ofisini ndiyo. Mheshimiwa amerudi na anaendelea na majukumu yake,” amesema Babu.


Imeelezwa kuwa, Makonda kwa sasa anaendelea na maandalizi ya onesho la magari ya Land Rover litakalofanyika mkoani humo hivi karibuni.


Aidha, jamii inatakiwa kuwa makini na matumizi ya mitandao kwani kuandika taarifa za upotoshaji ni kosa kisheria kwa mujibu wa sheria ya makosa ya mtandaoni yam waka 2016 ambapo adhabu yake ni kifungo cha miaka mitatu jela na faini ya Tsh milioni tano ama vyote kwa pamoja.


Tutumie mitandao ya kijamii kwa usalama wetu, usalama wa wenzetu na usalama wa taifa letu.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. FEDHA AU UTAJIRI WA NDAGU AU MAJINI NDANI YA MUDA MCHACHE MPAKA MASAA 48(SIKU MBILI) HATA UKIWA SEHEMU ULIPO KIKUBWA UWE JASIRI, MSIRI, MWENYE MALENGO NA NIDHAMU INSHAALAH JAMBO LINAKAMILIKA.

    Kwanini unateseka na kutaabika na wakati ufahamu na Siri zipo ili kufumbua fumbo utajiri na kwa muda mchache. Aliyesema hakuna linaloshindikana chini ya just hakukosea shida kwanini wewe uwe kituo chake kila utuo wa matatizo ni wewe, Kwanini?

    Kama unapata fedha huoni zinapita au umefanya biashara imebaki palepale, Magonjwa huelewi yanatoka wapi,

    KARIBU KIKUBWAUWE NA NIA IMANI NA UTAYARI MALIPO NI BAADA KARIBUNI SANA.
    💀IFAHAMU MIZIMU NA UNDAANI WAKE KATIKA KUPATA MALI ....

    DOKTA MDIRO whatsp/call +255 742162843 Everyone

    ANGALIZO HUSIJARIBU JAMBO ULIZA KWA MAELEKEZO

    Omba lolotee kwa njiaa ya mizimu mungu atatenda asema DOKTA MDIRO,

    Kuna watu wakisikia neno mzimu wanatimkaa mbio lakini wakisikia neno mtakatifu wanabarikiwa na wakati ni kitu kilekile kasoro jina tu.

    Daktari wa kiafrika anaitwa mganga wa kienyeji na wa kigeni ni Mtaalamu au mwanasayansi.

    Ibada takatifu zinaitwa Kusali na za lienyeji zinaitwa matambiko amka wacha kulala.

    watakatifu wa kiafrika wanaitwa mizimu, Mzimu nii binadamu yeyote yule aloachaa mwili na ANAISHIII na mungu karibu, kwaiyo sisi sote nii mizimu watarajiwa, unapomfananisha Mzimu na shetaani nikukataa ukuu wa afrikaa, wazungu Mzimu uloishiii vizuri dunian wanauita mtakatifu sisi mizimu iloishi vizuri na VIBAYA duniani tunaayaita mashetani.

    Ndiomaana ktk orodha ya watakatifu karibu wote wazungu, waafrika wa kuwahesabu, @highlight

    WAZUNGU KWENDA MAKABURINI WANAITA HIJJA , SISI KWENDA MAKABURINI TUNAITA MATANDIKO, HATA MZIMU WA NYERERE UMECHUKUWA MUDA KWELI KUFANYWA MTAKATIFU KWASABABU HAKUWA MZUGU.
    🤫DOKTA MDIRO ANASEMA MIZIMU INAFAIDA KUBWA KTK MAISHA YA MUWAFRIKA, KUIKATAA NI KUKUBALI BALAAA NA KUKUBALI NI CHAZO CHA BARAKA.
    NA MAISHA MEMA APA DUNIANI,
    😒 Mikosi, manyanyaso balaa, na gundu ulizonazo haziwezi kuondoka mpk ukutane na mizimu yenu .
    Dokta MDIRO ANAKUAMBIA MIZIMU YA BIBI YAKO NA BABU YAKO INAA MAJIBU YA MATATIZO YAKO.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad