Polisi Wanne Wadakwa Kwa Kushirikiana na Mganga Kufanya Mauaji

Polisi Wanne Wadakwa Kwa Kushirikiana na Mganga Kufanya Mauaji


Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi Agosti 28, 2024, Watuhumiwa Wanne wanashikiliwa kwa kosa la mauaji ya watu 10 huko Dodoma na Singida


Taarifa hiyo imeeleza, baada ya uchunguzi na mahojiano kuhusu vifo vya Watu Watatu ambao miili yao ilifukuliwa nyumbani kwa Mganga wa Kienyeji, Nkamba Kasubi Mkoani Singida Agosti 26, 2024, Mganga aliwaongoza polisi Agosti 27, 2024 hadi Kijiji cha Porobanguma-Dodoma na kuonesha miili mingine 7, hivyo kufanya idadi ya watu waliouawa kufikia 10

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad