Pyramids Yagoma Kupokea Bilioni 6 Kumuuza Fiston Mayele




PYRAMIDS YAGOMEA BILLIONI 6 KUMUUZA FISTON MAYELE.

Kocha Mkuu Wa pyramids FC Krunoslav Jurcic 🇭🇷 ameuambia Uongozi wa Pyramids kuwa ana malengo makubwa na Fiston mayele na kama watamuuza basi yeye pia ataondoka ndani ya Timu hiyo

Familia ya Kaizer Motaung ambayo ndiyo wamiliki Wa Kaizer chief walituma offer Pyramids ya Tsh Billion 6.4 kumwitaji Mshambuliaji Huyo lakini offar Yao aikujadiliwa.

Mayele amebakiza mwaka Mmoja pekee Ndani ya Timu hiyo akiwa Amefunga Magoli zaidi ya 20 kwenye mashindano yote ndani ya mwaka Msimu mmoja.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad