Rais Samia Ateuliwa Mwenyekiti wa Asasi, Ulinzi na Usalama SADC

Rais Samia Ateuliwa Mwenyekiti wa Asasi, Ulinzi na Usalama SADC


Rais Samia Suluhu Hassan ameteuliwa na Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kuwa Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama wa #SADC

Uamuzi huo umefanyika katika Mkutano wa 44 wa SADC uliofanyika Agosti 17, 2024 huko Harare, Zimbabwe, uliohudhuriwa na wawakilishi wa Wanachama 16 kutoka Nchi mbalimbali Afrika

Aidha, katika Mkutano huo, Rais wa Zimbabwe, Emmerson Dambudzo Mnangagwa ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa SADC na Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina kuwa Mwenyekiti wa SADC ajaye

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad