RPC: Anayedaiwa Kubwakwa na Kulawitiwa Alikuwa Kama Anajiuza

RPC: Anayedaiwa Kubwakwa na Kulawitiwa Alikuwa Kama Anajiuza


DODOMA: Kamanda wa Polisi SACP Theopista Mallya amesema jalada la tuhuma za Vijana Watano wanaotuhumiwa kumfanyia ukatili Msichana aliyejitambulisha kuwa Mkazi wa Yombo Dovya, Dar limekamilika na kwamba Jumatatu Agosti 19, 2024 atafuatilia kama litapelekwa Mahakamani

Taarifa hiyo kwa mujibu wa Tovuti ya Mwananchi (MCL) imeeleza upande wa Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) imesema haijafikishiwa jalada hilo ambalo limetokana na kipande cha video kilichoanza kusambaa Mitandaoni Agosti 4, 2024

Imeelezwa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), Sylvester Mwakitalu naye amesema jalada hilo bado halijamfikia mezani kwake kwa kuwa bado linaendelea kuchunguzwa na Jeshi la Polisi

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad