Web

Shaffih Dauda "Timu Bora Imepata MATOKEO, Yanga IPo Imara Kila Position"

Top Post Ad

Shaffih Dauda "Timu Bora Imepata MATOKEO, Yanga IPo Imara Kila Position"


Timu bora imepata matokeo, Yanga ipo imara sana,ina Wachezaji bora, Kikosi kipana kilichosheheni wachezaji wenye ubora almost sawa kwenye kila position

Kikosi kilianza na wachezaji wapya 3 (Boka, Dube na Abuya ) kipindi cha pili wakaanza na wapya 2 then wakamaliza dk 90 na mgeni 1 kwa maana ya Boka, Chama simuhesabii kama mchezaji mpya kwenye mchezo wa leo

HONGERENI SANA WANANCHI!

Below Post Ad

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.