Simba na Kibu Denis Wayamaliza, Kocha Amuombea Msamaha, Aonekana Mazoezini

Simba na Kibu Denis Wayamaliza, Kocha Amuombea Msamaha, Aonekana Mazoezini


Kibu Denis amejiunga na wachezaji wenzake na kufanya mazoezi kwenye Uwanja wa Mkapa, kwa ajili ya maandalizi ya SIMBA DAY, kesho Agosti 3.

Baada ya kurejea kambini, kocha Fadlu Davids aliomba uongozi umsamehe Kibu, akibainisha kuwa ni mchezaji muhimu kwa msimu ujao.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad