Simba Wakamilisha Usajili wa Mshambuliaji ATEBA, Kipa Ayoub Lakred Out

Simba Wakamilisha Usajili wa Mshambuliaji ATEBA, Kipa Ayoub Lakred Out

Simba SC imekamilisha usajili wa mshambuliaji Leonel Ateba raia wa Cameron kwa mkataba wa miaka miwili akitokea USM Alger ya nchini Algeria.

Ateba ni pendekezo la kocha Fadlu na anachukua nafasi ya Ayoub Lakred ambaye anatolewa kwenye mfumo wa usajili.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad