Tundu Lissu Adai Kuachana na Chadema Endapo Hili Litafanyika

Tundu Lissu Adai Kuachana na Chadema Endapo Hili Litafanyika

Tundu Lissu Adai Kuachana na Chadema Endapo Hili Litafanyika


DEMOKRASIA: Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA - Bara, Tundu Lissu amesema endapo 
CHADEMA itaacha misingi yake iliyomfanya ajiunge nacho basi ataondoka katika chama hicho kwakuwa si dhambi na CHADEMA si Dini na si mama yake

Clubhouse


Akizungumza kupitia Mtandao wa #Clubhouse amemnukuu Mwalimu Nyerere aliyewahi kusema CCM siyo mama yake na ikiacha misingi yake ataiacha, na kuongeza kuwa “Unataka niseme kwa mazingira yoyote yale vyovyote itakavyokuwa sitahama CHADEMA? ni mama yangu?”

Tundu Lissu


Ameongeza “Nitakuwa sina sababu ya kubaki na hiyo siyo dhambi. Ni Chama cha Siasa, Vyama vya Siasa huja na kuondoka, sisi binadamu tunakuja na kuondoka, kwa hiyo usiniombe nijifunge minyoro ya aina hiyo”.
-

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad