Wachezaji Samatta, Msuva Watemwa Taifa Stars, Dickson Job Arejea

 

Wachezaji Samatta, Msuva watemwa Taifa Stars, Dickson Job Arejea

Wachezaji Samatta, Msuva Watemwa Taifa Stars, Dickson Job Arejea 

Kaimu Kocha Mkuu wa timu ya Taifa Tanzania Hemed Seleman ‘Moroco’ amewatema baadhi ya mastaa wa kikosi hicho, huku akimrejesha kikosini mlinzi Dickson Job.


Stars inayotarajiwa kuingia kambini keshokutwa inajiandaa na michezo miwili ya kutafuta nafasi ya kufuzu Mataifa Afrika 2025 itakayochezwa nchini Morocco.


Katika kikosi hicho kilichoitwa kocha Moroco hajawaita wachezaji Kelvin John ‘Mbappe’ nahodha wa kikosi Mbwana Samatta na, Simon Msuva wanaocheza soka lao ughaibuni.


Samatta na Msuva wametemwa kikosini huku beki Dikson Job akirudishwa baada ya kuwapo na tetesi za kuwa na sintofahamu na kocha huyo.


Morocco alitolea ufafanuzi ishu ya Job akisema, "Mimi na Job tumezungumza yameisha salama.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad