Wakazi Amchana Vibaya Rosa Ree Baada ya Kudai Wimbo wa Mama Omollo Ulistahili Kuwa Kwenye Nomination za Wimbo Bora wa Hip Hop




ROSA REE: Criticize, but dont get entitled!

Stop the ENTITLEMENT please! Umetoa wimbo mmoja unahisi unastahili kuwa “Best of the Year” over Nash MC na Nikki Mbishi ambao wana Albums ?!

Tuzo zina flaws yeah, and I think the nomination you deseved was that of “Best Rap Song” ila lets not be too entitled. If you got a nomination be grateful. Unge make sense kama ungeamza kwa kusema, “SIDHANI KAMA NINA STAHIKI CATEGORY NILIYOWEKWA, ILA YA WIMBO BORA NDIO NINASTAHILI” hapo ningeelewa ila sio ufurahie category na ulalamike zingine… come on

Your diss song (Mama Omollo) was Dope, but so was Freshlikeuhhh’s (Dear Brian)… ila Darassa has a bigger song “Nobody” ft Bien na haujawa nominated. Au Darassa sio Rapper? 🤷🏾‍♂️ “Nobody” imetoka 2 months before you, na bado hadi sasa inawika(commercially ime hit zaidi, na viewership imekuzidi 4x) ! KUMBUKA!! Wanaangalia miezi 12 ya mwaka sio tu wimbo ulioutoa mwisho wa mwaka ukawa na hype ya mwezi! Remember that

Let’s call out mapungufu ya Tuzo zetu, ila not from an Entitlement standpoint. Please

Na pia acheni mambo ya kushukuru serikali, sijui nini… Let’s talk about Art. Tuzo ni za Muziki, na kama serikali inahusika basi ni imetekeleza wajibu. Sasa hapo unaishukuru kwa nini ikiwa unalalamika still?

Respectfully,
THE LEADER

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad