Waziri Gwajima "Binti Aliyefanyiwa Ukatili Anastahili Haki yake"

Waziri Gwajima "Binti Aliyefanyiwa Ukatili Anastahili Haki yake"


HAKI ZA BINADAMU: Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Dkt. Dorothy Gwajima amesema amewasiliana na Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi Hamad Masauni kuhusu tukio la Binti aliyeonekana kufanyiwa ukatili na Vijana Watano na ameahidi kulifanyia kazi

Dkt. Gwajima ametoa taarifa hiyo baada ya Wananchi kuhoji kauli ya Kamanda wa Polisi, SACP Theopista Mallya aliyesema Jeshi la Polisi limebaini waliohusika hawakutumwa na Askari na Binti aliyefanyiwa ukatili alikuwa ni “kama akijiuza”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad