Zari Amzuia Mumewe Shakib Kuja South Afrika Kisa Kamchoka....

Zari Amzuia Mumewe Shakib Kuja South Afrika Kisa Kamchoka....


Katika mazungumzo kwa njia ya simu, Zari akimwambia mume wake, Shakib Lutaya, asisafiri kwenda Afrika Kusini akisema kwamba hawezi kumvumilia kwa mwezi mzima kutokana na kuwa busy na majukumu.


Shakib alionyesha nia ya kutoka Uganda kwenda Afrika Kusini kwa mkewe, lakini Zari alijibu kwa kusema, "Hapana, nitachoka sana. Siwezi kukuvumilia hata mwezi mmoja." Kauli hii inafuatia baada ya Shakib kuuliza kuhusu umuhimu wake katika maisha ya Zari na kuishia kuchimbwa mkwala.


Powered by @goldberg.tz & @mtashi_motors


Pakua Mtandao Mpya wa Kijamii wa Ona Sasa kupitia Google Play kufuatilia habari zetu zingine. Pia Ona Sasa ni fursa kwa Content Creators kujipatia kipato. Jiunge Sasa kwa kubonyeza Link kwenye Stories

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad