Zari Hassan na Shakib Wapunguzana Instagram......


Zari Hassan na Shakib Wapunguzana Instagram......


Zari the Boss Lady na mumewe, Shakib Lutaaya wamepunguzana mitandaoni, kila ame-unfollow page ya mwenzake, huku wakifuta picha walizokuwa wamepiga pamoja.

Hali hii imesababisha uvumi kuhusu hatma ya ndoa yao, iwapo inakaribia kuvunjika. Katika hali isiyoeleweka, wawili hawa walijibizana hadharani na kusambaza siri za ndoa yao.

Agosti 10, Diamond Platnumz, ex wa Zari, alihudhuria sherehe ya kuzaliwa ya binti yao Tiffah, huko Afrika Kusini kitendo ambacho kilipokelewa vibaya na Shakib na kuibua majibizano kwa wanandoa hao.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad