Zari na Mumewe Shakib Hapatoshi Kisa Diamond Platnumz Kumfanyia Suprise

Zari na Mumewe Shakib Hapatoshi Kisa Diamond Platnumz Kumfanyia Suprise


 Zari na mumewe Shakib wameripotiwa kugombana tena baada ya baba watoto (wawili) wa Zari, Diamond Platnumz, kuwatembelea nchini Afrika Kusini bila taarifa mwishoni mwa wiki na kusherehekea siku ya kuzaliwa ya binti yao, Tiffah.


Safari ya kushtukiza ya Diamond nyumbani kwa Zari kwa ajili ya party ya siku ya kuzaliwa ya Tiffah kulimkasirisha Shakib, ambaye alimshutumu Zari na kuhisi kuwa bado ana hisia na Diamond.


Powered by @goldberg.tz & @mtashi_motors


Pakua Mtandao Mpya wa Kijamii wa Ona Sasa kupitia Google Play kufuatilia habari zetu zingine. Pia Ona Sasa ni fursa kwa Content Creators kujipatia kipato. Jiunge Sasa kwa kubonyeza Link kwenye Stories

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad