AHMED ALLY: YANGA HAWAJUI COMMUNICATION SKILLS

 

AHMED ALLY: YANGA HAWAJUI COMMUNICATION SKILLS

Ahmed Ally anasema.

"Nyuma mwiko bwanaa,umemfunga Ken Godl Goli moja na kumdhulumu goli lake halali,badala ya kuzungumza na mashabiki dhidi ya ushindi wenu na mazabe yenu mnaanza kuwashambulia Wachambuzi na kuinanga klabu ya Simba Sc utafikiri mmecheza na timu ya wachambuzi au klabu ya Simba Sc."

"Nilichogundua vijana wanakosa Communication Skills na hawawezi kusimamia Agenda zao au kuzungumza yao mpaka waihusishe Simba Sc au wamlaumu mtu" Anasema @ahmedally

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad