Benchi Linavyoua Kipaji cha Mchezaji Kibwana Shomari

 

Benchi Linavyoua Kipaji cha Mchezaji Kibwana Shomari

Inanikumbusha kauli aliyowahi kuzungumza mlinzi wa kulia wa Klabu ya Yanga SC, Kibwana Shomari baada ya kusajiliwa Attohoula Yao msimu uliopita kuwa kazini kwake kuna kazi kutokana na ushindani mkubwa na kiwango alichoonyesha Yao hadi kuingia kikosi cha kwanza.


Namuangalia Kibwana ambaye amepoteza nafasi ya kucheza kwenye kikosi cha Yanga kutokana na ubora wa full back Attohoula Yao, lakini hata anapokosekana Yao mara kadhaa kocha anaamua kuanza na Dickson Job kama mlinzi wa kulia badala ya Kibwana.


Benchi halijawahi kumfanya mchezaji akawa bora zaidi ya kushusha kiwango, Yanga ushindani ni mkubwa Kibwana ana kazi ya kufanya kwenye kikosi cha wananchi ili awe replacement sahihi hata pale ambapo anakosena Yao Attohoula

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad