BENKI KUU YA TANZANIA YAKANUSHA UWEPO WA NOTI MPYA YA SHILINGI ELFU KUMI

BENKI KUU YA TANZANIA YAKANUSHA UWEPO WA NOTI MPYA YA SHILINGI ELFU KUMI


Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imekanusha taarifa zinazodai kuwa kuna noti mpya ya shilingi elfu kumi itakayowekwa kwenye mzunguko, hii ni baada ya kusambaa kwa picha za noti hiyo ikiwa na picha ya Rais wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassan.

Taarifa ya Benki kuu imeeleza kuwa taarifa hizo sio za kweli na haijatoa tamko lolote kuhusu uzinduzi wa noti mpya ya thamani hiyo hivyo Wananchi wanatakiwa kupuuza picha hizo.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad