Rais wa shirikisho la soka Barani Afrika CAF, Patrice Motsepe ameweka wazi mpango uliopo wa kuyafuta mashindano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika kwa lengo la kupunguza idadi ya mashindano ambayo yanaonekana kuwa mengi.
Rais wa shirikisho la soka Barani Afrika Patrice Motsepe ameweka wazi mpango uliopo wa kuyafuta mashindano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika kwa lengo la kupunguza idadi ya mashindano ambayo yanaonekana kuwa mengi.
Sababu nyingine ambayo inatajwa kusababisha michuano hiyo kufutwa ni pamoja na uhaba wa wadhamini hasa baada ya michuano mikubwa ya Ligi ya mabingwa Afrika kusumbuka kupata wadhamini wapya na hali ngumu ya kiuchumi kwa klabu zinazoshiriki.