CHUPA ZAIDI YA 1000 YA MAFUTA YA VILAINISHI ZAKUTWA NYUMBANI KWA P DIDDY



CHUPA ZAIDI YA 1000 YA MAFUTA YA VILAINISHI ZAKUTWA NYUMBANI KWA P DIDDY

Taarifa Mpya Ni Kwamba Chupa Za Mafuta Ya Watoto Zaidi Ya 1000 Na Vilainishi Vilikutwa Na Maafisa Usalama Wakati Wa Upekuzi Uliofanyika Mapema Mwezi Machi Mwaka Huu Nyumbani Kwa Rapa Diddy Mjini Los Angeles Na Miami.

Kama Unakumbuka Machi Mwaka Huu Polisi Walivamia Mijengo Ya Diddy Miami & Los Angeles Kama Sehemu Ya Uchunguzi Wa Kesi Za Unyanyasaji Wa Kingono Na Kubaini Camera Za Siri Zilizofichwa Kwenye Nyumba Za Rapa Huyo.

Rapa Diddy Amefunguliwa Mashtaka Mapya Hii Leo Baada Ya Kukamatwa Mjini New York Na Maafisa Usalama (FBI) Kwa Kesi Za Dawa Za Kulevya, Kusafirisha Mabinti Wenye Umri Mdogo Kingono, Lakini Pia Kukutwa Na Silaha (Bunduki) N.k

Hata Hivyo Mwanasheria Wake ‘Marc Agnifilo’ Ameibuka Na Kujibu Kuwa ‘Diddy Hana Hatia Katika Mashtaka Hayo’.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad