DIAMOND PLATNUMZ NA HAJI MANARA WASITISHA KUFANYA HOUSE PARTIES..KISA.....

DIAMOND PLATNUMZ NA HAJI MANARA WASITISHA KUFANYA HOUSE PARTIES..KISA.....
DIAMOND PLATNUMZ NA HAJI MANARA WASITISHA KUFANYA HOUSE PARTIES 

Baada ya mkasa wa P Diddy, Haji Manara pamoja na Diamond Platnumz wameungana kusitisha tafrija mbalimbali nyumbani kwao kwani wanaamini Dunia ya sasa imebadilika, waswahili hawachelewi kuibua maneno.

"Ndugu zangu nimekoma kufanya tena zile Party za home, sitawaalika tena Washikaji zangu"---Haji Manara.

Diamond pia amepokea ushauri wa Manara juu ya kuacha kwa sasa kufanya tafrija nyumbani kwake.

"Dah Kwakweli"----Jibu la Diamond Platnumz baada ya kupokea ushauri wa Haji Manara.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad