DROO YA MAKUNDI CAFCL, CAFCC OKTOBA 7, TIMU ZILIZOFUZU HIZI HAPA
Droo ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika na ile ya kombe la Shirikisho la itachezwa Oktoba 7, 2024 huku wababe wa michuano hiyo wakitarajiwa kubaini wapinzani wao kwenye hatua ya makundi.
Mabingwa watetezi, Al Ahly ya Misri watakuwa kwenye chungu (Pot) namba 1 sambamba na Esperance, Mamelodi Sundowns na TP Mazembe huku Wawakilishi wa Tanzania kwenye kombe la Shirikisho, Simba Sc wakiwa kwenye chungu namba 1, sambamba na Zamalek, RS Berkane, USM Alger.
Vyungu (Pots) vya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa msimu wa 2024-25.
Pot 1:
Al Ahly - Misri ????
Esperance - Tunisia
Mamelodi Sundowns - Afrika Kusini
TP Mazembe - Congo DR
Pot 2:
CR Belouizdad - Algeria
Raja Athletic Club - Morocco
Young Africans
Pyramids FC
Pot 3:
Al Hilal - Sudan
Orlando Pirates - Afrika Kusini
Sagrada Esperança - Angola
ASFAR - Morocco
Pot 4:
MC Alger - Algeria
Djoliba - Mali
Maniema Union - Congo DR
Stade d’Abidjan - Côte d'Ivoire.
Vyungu (Pots) vya hatua ya makundi ya kombe la Shirikisho Afrika kwa msimu wa 2024-25
Pot 2:
• Zamalek SC - Misri
• RS Berkane - Morocco
• Simba SC - Tanzania
• USM Alger - Algeria
Pot 2:
• ASEC Mimosas - cote d'Ivoire
• Stade Malien - Mali
• Al Masry - Morocco
• CS Sfaxien - Tunisia
Pot 3:
• Enyimba FC - Nigeria
• ASC Jaraaf - Senegal.
Timu ambazo hazijaorodheshwa kwenye viwango (non ranked teams)
• CD Lunda Sul - Angola
• Constantine - Algeria
• Orapa United Botswana
• Bravos do Maquis - Angola
• Stellenbosch - Afrika Kusini
• Black Bulls - Mozambique.
CAF itachagua timu mbili kutoka timu hizo (non ranked teams) kukamilisha 'Pot three'.