Fountain Gate Waijibu Yanga 'Wasituchafue Kagoma Tumemuuza Simba'

Fountain Gate Waijibu Yanga 'Wasituchafue Kagoma Tumemuuza Simba'



KUMEANZA KUCHANGAMKA:

“Kama tumetapeli hela zao waonyeshe makubaliano ya mauziano ya Kibabage na Andambwile kama walivyotoa ya Kagoma”

“Kagoma tumemuuza Simba, wasituchafue, wasitutoe kwenye reli, sisi tunautaka ubingwa, tupige Parade kutoka Dodoma hadi Babati”

Issa Liponda - Ofisa Habari - (FG)
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad