HICHI NDIO KILICHOPATIKANA BAADA YA NYUMBA YA BONIFACE KUFANYIWA UPEKUZI NA POLISI

HICHI NDIO KILICHOPATIKANA BAADA YA NYUMBA YA BONIFACE KUFANYIWA UPEKUZI NA POLISI


Hekima Mwasipu ambaye ni Wakili wa Meya wa zamani wa Ubungo ambaye pia ni Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), amesema Polisi wametumia dakika takribani 180 kufanya upekuzi nyumbani kwa Boniface maeneo ya Mbezi Msakuzi Jijini Dar es salaam.


Wakili Mwasipu akiwa nje ya nyumba ya Boniface baada ya upekuzi huo amenukuliwa akisema yafuatayo mbele ya Waandishi wa Habari “Wamekuta tu Documnet fulani hivi alikuwa nafikiri alikua anaandikaandika muhtasari wa mambo yake ya kawaida”


Taarifa ya Polisi baada ya kumkamata Boniface Jacob leo ilieleza kwamba wanamshikilia Meya huyo wa zamani kutokana na makosa ya kijinai anayotuhumiwa nayo na kuwataka Wananchi kupuuza uongo unaosambazwa mitandaoni kuwa ametekwa.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad