JESHI LA POLISI: Tunamshikilia Boniface Kwa Makosa ya Jinai, Hajatekwa


JESHI LA POLISI: Tunamshikilia Boniface Kwa Makosa ya Jinai, Hajatekwa

JESHI LA POLISI: Tunamshikilia Boniface Kwa Makosa ya Jinai, Hajatekwa

JESHI la Polisi Tanzania limewataka Wananchi kupuuza uwongo unaosambazwa mitandaoni kuwa aliyekuwa Meya wa Ubungo ambaye pia ni Kada wa CHADEMA, Boniface Jacob mkazi wa Mbezi kwa Msakuzi Jijini Dar es Salaam ametekwa na kubainisha kuwa Jeshi hilo linamshikilia Boniface kutokana na makosa ya kijanai anayotuhumiwa nayo.

Taarifa ya leo Septemba 18, 2024 iliyotolewa na Msemaji wa Jeshi la Polisi Makao Makuu ya Polisi Dodoma, DCP David A. Misime imesema “Jeshi la Polisi limemkamata na lina mshikilia Boniface Jacob mkazi wa Mbezi kwa Msakuzi Jijini Dar es Salaam kutokana na makosa anayotuhumiwa nayo. Hivyo, wananchi wapuuze uwongo unaosambazwa mitandaoni kuwa ametekwa.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad