Kimenuka Vunjabei na Mwijaku Huko "Ukome Kutaja Jina Langu"




Mfanyabiashara maarufu kutoka nchini Tanzania @fred_vunjabei amefunguka na kumuonya kwa mara ya mwisho @mwijaku kuacha kumtaja na kuizungumzia kampuni yake ya Vunjabei ni baada ya kutaka kumfanya aingie kwenye mgogoro na @diamondplatnumz.

"Ni kweli tunahitaji huduma zenu kwenye biashara zetu, lakini ifike point mziheshimu brands za wateja wenu na mahusiano yao na watu wengine, kuna maisha baada ya mitandao ya kijamii"

"Nimeshakuonya mara nyingi, nilikufungulia mpaka mashtaka ukatuma watu yakaisha, nasema mara ya mwisho nakuomba ukome mara moja kunitaja au kutaja kampuni yetu “VUNJABEI” kwenye mambo yako" aliandika mfanyabiashara huyo kupitia ukurasa wake wa Instagram.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad