MKE WA PROFESA JAY AFUNGUKA "MUME WANGU AMEREJEA KWENYE MUZIKI NA SIASA"

 

MKE WA PROFESA JAY AFUNGUKA "MUME WANGU AMEREJEA KWENYE MUZIKI NA SIASA"
Prof Jay na Mkewe

Mke wa Legend Profesa Jay aitwaye Grace Mgonjo amefunguka sababu ambazo zilisababisha #ProfJay kupost video siku kadhaa nyuma akionesha hali aliyokuwa nayo kipindi anaumwa.


"Maisha ya #Jay kwasasa yapo na Mungu sana sasa sijajua yeye kichwani mwake anawaza nini lakini vitu vyake vipo kama kawaida kama muziki,siasa vitu vya jimboni kama kawaida,vitu vingi vinarudi kwenye kuwa kama kawaida ila Mungu yuko mbele zaidi kwake.


"Amepost ile picha maana ameuona ukuu wa Mungu ndio maana akataka watu wajue,kwa maana wengine hawakua wanafahamu ameumwa kwa kiasi gani na yapi ambayo amepitia," amesema Grace

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad