MUDATHIR YAHYA NI SILAYA YA SIRI WANAYOTUMIA YANGA KUWAUWA WAPINZANI...


MUDATHIR YAHYA NI SILAYA YA SIRI WANAYOTUMIA YANGA KUWAUWA WAPINZANI...

Mudathir Yahya Abbas,mimi huwa napenda kumuita “MIDFIELD DYNAMO” jamaa ana mapafu ya mbwa….muda wote anapanda na kushuka Up and down.

Lazima tukubali Coach Gamond amempeleka next level,sasa hivi ana impact kubwa sana kwenye mabox yote mawili hususa ni box la timu pinzani,ile mikimbio yake ya mwisho inazalisha sana magoli🙌

You know what?

Muda ni silaha ya siri (secret weapon) ambayo Yanga wanaitumia kuwaua wapinzani😄

Halafu Muda ana DNA na goli la Mama😄😄🙌
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad