NAY WA MITEGO AITWA BASATA KUJADILI NYIMBO YA NITASEMA

NAY WA MITEGO AITWA BASATA KUJADILI NYIMBO YA NITASEMA

NAY WA MITEGO AITWA BASATA KUJADILI NYIMBO YA NITASEMA

Rapa @naytrueboytz amepokea wito kutoka Baraza la sanaa hapa nchini @basata.tanzania ukimtaka kufika ofisi zao siku ya kesho Ijumaa ya Septemba 27 saa sita mchana ili kujadili kuhusu wimbo wake mpya “Nitasema”.


Rapa huyo aliachia wimbo huo siku ya Jumanne Septemba 24 kupitia platform zote za muziki huku wimbo huo ukifanikiwa kupata zaidi ya watazamaji Laki sita na kukamata nafasi ya kwanza kwenye Trend katika platform ya Youtube.


Nay ameahidi kuitikia wito huo na kuwasikiliza walezi wa sanaa juu ya vitu ambavyo wamepanga kumueleza.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad