R KELLY: MIMI NA P DIDDY TUNAONEWA NI MPANGO WAKUANGAMIZA MATAJIRI WEUSI MAREKANI

R KELLY: MIMI NA P DIDDY TUNAONEKA NI MPANGO WAKUANGAMIZA MATAJIRI WEUSI
R KELLY: MIMI NA P DIDDY TUNAONEWA


Mwanamuziki R Kelly akiwa jela amefunguka kuwa hatimaye wamefanikiwa kumsingizia kesi na wamemfunga na hivi sasa wameanza kumtengenezea mazingira mabaya P Diddy.


R Kelly ameeleza kuwa haiwezekani tajiri kama yeye alale na watoto wadogo bila matakwa yao wakati kuna Wanawake wengi ambao anaweza kulala nao. R Kelly anaamini yeye na P Diddy hawahusiki na madai hayo ila hiyo ni mipango tu ya kuwapoteza Watu weusi ambao ni Matajiri na ametoa ushauri kuwa watu hawatakiwi kufumbia macho uonezi huu kwani wengine watazidi kufungwa.


"They did the same thing to me and now they're doing it to Diddy. Why do you think a famous rich successful man will be sleepîng with kids agaînst their will when there are womęn out there that'll do anything for him?"---R Kelly


R Kelly amefungwa kwa mashtaka ya unyanyasaji wa kingono hasa kufanya mapenzi na mabinti wadogo, kwa upande wa P Diddy anahusishwa pia na ubakaji, unyanyasaji wa kingono na mapenzi ya jinsia moja.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad