RAIS SAMIA: UKIMYA WANGU SIO UJINGA

RAIS SAMIA: UKIMYA WANGU SIO UJINGA

“Niliwahi kusema na hapa nataka nirudie tena kwa msisitizo, ukimya wangu sio ujinga na wala kuzungumza sana kwa wale wanaozungumza sana sio werevu hata kidogo, kuzungumza sana ni debe tupu tu haliachi kuvuma lazima litavuma kwahiyo ukimya wangu sio ujinga na kuropokwa kwao sio werevu”

“Mliponikabidhi dhamana hii niliapa kuilinda na kuitetea Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na dhamana yangu pamoja na Vyombo vya Ulinzi ni kulinda amani ya Nchi yetu kwahiyo sitokuwa na muhali na yoyote anayetaka kuvuruga amani hiyo ya Nchi yetu, tumevumiliana kwenye mengi lakini kwenye kulinda Tunu ya amani na utulivu ya Nchi, nirudie tena sitokuwa na muhali na yoyote anayeratibu, anayeshiriki hata anayetekeleza mipango hiyo miovu” —— Rais wa Tanzania, Dkt. Samia kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro leo September 17,2024

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad