Simba Hawezi Kupokonywa POINT Kisheria Sakata la Mchezaji Kagoma

 

Simba Hawezi Kupokonywa POINT Kisheria Sakata la Mchezaji Kagoma

Sakata la mchezaji halali wa klabu ya Simba Yusuf Kagoma liliendelea Leo kati ya mchezaji huyo na klabu ya Yanga huku Yanga wakihitaji mchezaji huyo aombe radhi hadharani ndipo wamsamehe lakini Kagoma haijafanya hivyo mpaka sasa


Kamati ya hadhi ya wachezaji pia walishaipa onyo klabu ya Simba kuacha mara moja kutumia mchezaji huyo japo ni mchezaji halali wa klabu hiyo lakini kutokana na kesi inayomkabili hatakiwi kucheza kwa sasa


Ila hiyo Simba haiwezi kupokonywa alama katika mechi alizocheza mchezaji huyo katika klabu ya Simba kwasababu Simba hauisiki katika kesi hiyo Bali ni Kagoma dhidi ya Yanga

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad