Timu ya Simba Wampa Thank You Kocha Juma Mgunda...




MICHEZO: Klabu ya Simba imeachana na Kocha Juma Ramadhani Mgunda ambaye alikuwa akiinoa Timu ya Wanawake ya Simba Queens huku mara kadhaa akipewa jukumu la kufundisha timu ya Wanaume ya Klabu hiyo
-
Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Uwayezu F. Regis amesema Mgunda ambaye alianzia timu ya Wanaume kabla ya kuhamishwa amemaliza mkataba wake
-
Kocha huyo ameiwezesha Simba Queens kushinda ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL), ambapo timu hiyo kwa sasa itakuwa chini ya Kocha msaidizi, Mussa Hassan Mgosi
-
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad