TUNDU LISSU, MBOWE NA GODBLESS LEMA WAACHILIWA KWA DHAMANA

TUNDU LISSU, MBOWE NA GODBLESS LEMA WAACHILIWA KWA DHAMANA


Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA- Bara, Tundu Lissu ameachiwa kwa dhamana usiku huu katika Kituo cha Polisi Mbweni.

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama hicho, Benson Kigaila wamepata dhamana katika kituo cha Polisi Oysterbay.

CHADEMA imesema Mbowe bado amebaki kituoni hapo akisubiri Wanachama na Wananchi wote waliokamatwa wapate dhamana.

CHADEMA imethibitisha na kusema Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema ameachiwa pia kwa dhamana katika kituo cha Polisi cha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere usiku huu.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad