UTENGUZI: Mkuu wa Wilaya Aliyesema Serikali Imewabeba Madiwani Atenguliwa

 

UTENGUZI: Mkuu wa Wilaya Aliyesema Serikali Imewabeba Madiwani Atenguliwa


UTENGUZI: Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Longido, Marko Henry Ng’umbi, ikiwa ni muda mfupi baada ya kusambaa kwa video fupi ikimuonesha anazungumzia masuala ya uchaguzi wa Mwaka 2020

Katika ‘clip’ hiyo, Ng’umbi ameonekana akieleza kuwa Serikali ilikuwa na ‘mchango mkubwa’ katika kuwawezesha Madiwani kupita bila kupingwa na hatimaye kushinda kwenye Uchaguzi wa Mwaka 2020

-

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad