WAFUNGWA WANATAKA KUMUUWA P DIDY GEREZANI....



Mkuu wa zamani wa gereza alilowekwa Diddy amesema staa huyu mkubwa duniani 'Anabidi awe makini sana, sababu kuna wafungwa wengi wanataka kumuua kama sehemu ya kuonyesha ubabe wao na kupata heshima kubwa kwenye gereza hilo'.
-
Diddy yupo kwenye gereza la MDC Brooklyn baada ya kukosa dhamania, anasubiri kusikilizwa kwa kesi zake za jinai za makosa ya kingono. Kwenye gereza hilo Diddy ametengwa kwenye eneo la sero moja kwa kila mfungwa na anatoka kwa saa moja tu nje ya sero hio na kurudishwa, anatembelewa na ndugu, marafiki na mawakili wake muda wowote.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad