WASOUTH WANATAMANI ORLANDO PIRATES NAYO IKUTANE NA MZIKI WA YANGA CAF...


WASOUTH WANATAMANI ORLANDO PIRATES NAYO IKUTANE NA MZIKI WA YANGA CAF...

Mashabiki wa soka nchini Afrika Kusini kila mmoja kwa nafasi yake wanatamani sana kuona klabu ya Yanga ikipangiwa kucheza na Orlando Pirates kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya mabingwa Barani Afrika.

Hili linakuja baada ya Yanga jana kushinda goli 6-0 dhidi ya CBE SA, huku pia ikichagizwa na kebehi ambazo walizitoa mashabiki wa Orlando kuelekea kwa Mamelodi Sundowns na Kaizer Chiefs baada ya timu hizo kusumbuliwa sana na Yanga.

Mashabiki wa Mamelodi Sundowns na Kaizer Chiefs wanatamani kuiona Orlando nayo ikikutana na kizingiti hiki ambacho kinatajwa kuwa miongoni mwa timu tishio zaidi Afrika kwasasa.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad