Yanga Wataka SIMBA Ikatwe Point 6 Kisa Kagoma...Wakataa Suluhu ya Mezani

Yanga Wataka SIMBA Ikatwe Point 6 Kisa Kagoma...Wakataa Suluhu ya Mezani

Yanga Wataka SIMBA Ikatwe Point 6 Kisa Kagoma...Wakataa Suluhu ya Mezani

Kamati ya sheria na hadhi za wachezaji, Leo asubuhi imesikiliza kesi ya kiungo wa Simba Yusuph Kagoma,na kuamuru mchezaji huyo asimame haraka kuitumikia klabu hiyo.

Yanga wao wamethibitisha kuwa hawajamsamehe Kagoma,na wanataka haki ifuatwe.

Pia Yanga wanashinikiza Simba wapokwe pointi sita za ligi ambazo walizipata kwa kumtumia mchezaji batili (Kagoma) kwenye mechi dhidi ya Tabora na Fountain Gate.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad