Ahmed Ally Afunguka "Tarehe 19 Tuna Kazi ya Kumpelekea Mtu Ubaya Ubwela"


Tarehe 19 tuna kazi ya kwenda kumkaanga mtu. Tuna kazi ya kwenda kumkamua mtu. Tarehe 19 tuna kazi ya kumpelekea mtu ubaya ubwela.”

Amesema Afisa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally wakati wa uzinduzi wa Tawi la timu hiyo Tabata, Dar es Salaaam.

Klabu ya Simba itamenyana na Yanga SC kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC mechi ambayo itapigwa Oktoba 19,2024 katika Dimba la Mkapa.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad