Ahmed Ally "Tunaenda Kucheza na Timu Kubwa Ambayo Imetuzidi Kwa Sasa"



Afisa habari na mawasiliano wa klabu ya Simba Ahmed Ally amekiri kuwa klabu ya Yanga ni kubwa kuliko Simba kutokana na umri hadi mafanikio upande wa mataji ya Ligi waliyotwaa.

"Tarehe 19 tunaenda kucheza mechi na mkubwa wetu ambae ametuzidi mwaka mmoja wa kuzaliwa na anatuzidi makombe nane [8] ya ligi.

Hii ni mechi ambayo inabeba taswira ya soka letu la tanzania.”

- Ahmed Ally, Afisa Habari na Mawasiliano Simba SC.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad