Ahmedy Ally "Inafanyika Mipango ya Kikatili Mno Simba Apate Ushindi"

Ahmedy Ally "Inafanyika Mipango ya Kikatili Mno Simba Apate Ushindi"


 “Viongozi wapo ‘serious’ vibaya mno kuelekea mchezo huu namna ambavyo tunajiandaa kama tunaenda kwenye vita ya tatu ya Dunia. Namna ambavyo tunajiandaa ni kama vile tunaenda kukiteka kisiwa kiwe mali yetu. Maandalizi makubwa yanafanyika kuanzia kwenye Bodi ya Wakurugenzi watu wapo siriazi hawalali mchana asubuhi hadi usiku wanafanya maandalizi kuelekea mchezo huu.

“Mipango inayofanyika ni kama tunaenda World Cup flani hivi kwenye fainali. Inafanyika mipango ya kikatili mno Mnyama apate ushindi siku ya Jumamosi.”

Amesema @ahmedally_ Afisa Habari na Mawasiliano wa Simba

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad