Alex Ngereza: Aziz K Kaisha Vibaya Mnoo, Hakustaili Kuwa MVP

Alex Ngereza: Aziz K Kaisha Vibaya Mnoo, Hakustaili Kuwa MVP

Alex Ngereza: Aziz K Kaisha Vibaya Mnoo, Hakustaili Kuwa MVP 

 "Kuna namna kamati ya tuzo ilijichanganya msimu uliopita kumpa Azizi ki tuzo ya kiungo bora na mchezaji bora wa msimu kwasababu hajawahi kuwa na muendelezo mzuri wa kiwango chake ukiangalia alivyoanza kucheza msimu huu na ukamuambia mtu huyu ndio MVP wa msimu uliopita lazima akushangae ilikuwa bahati kufunga idadi kubwa ya magoli kusema ukweli Feisal salum alistahili tuzo ya MVP" Anasema Alex Ngereza.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad